Hesabu 17:8
Hesabu 17:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Kesho yake asubuhi, Mose alikwenda katika hema la mkutano. Humo, aliikuta fimbo ya Aroni wa kabila la Lawi, imechipua na kutoa vichipukizi vilivyochanua maua na kuzaa matunda mabivu ya mlozi.
Shirikisha
Soma Hesabu 17Hesabu 17:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ilikuwa siku ya pili yake, Musa akaingia ndani ya hema ya ushahidi; na tazama, ile fimbo ya Haruni iliyokuwa kwa nyumba ya Lawi ilikuwa imechipuka, imetoa michipukizi, na kuchanua maua; na kuzaa matunda mabivu.
Shirikisha
Soma Hesabu 17