Hesabu 20:12
Hesabu 20:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose na Aroni, “Kwa kuwa nyinyi hamkuniamini mimi, wala kunistahi mbele ya macho ya Waisraeli, basi kwa sababu hiyo hamtaiingiza jumuiya hii katika ile nchi niliyowapa.”
Shirikisha
Soma Hesabu 20Hesabu 20:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia Musa na Haruni, Kwa kuwa hamkuniamini mimi, ili kunistahi mbele ya macho ya wana wa Israeli, basi kwa sababu hiyo, hamtawaingiza kusanyiko hili katika ile nchi niliyowapa.
Shirikisha
Soma Hesabu 20