Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hesabu 35:25 - Linganisha Matoleo Yote

Hesabu 35:25 BHN (Biblia Habari Njema)

Jumuiya itamwokoa mtu huyo aliyeua mikononi mwa jamaa ya mtu aliyeuawa, na kumrudisha katika mji wa makimbilio alimokuwa amekimbilia. Atakaa huko mpaka kifo cha kuhani mkuu wa wakati huo aliyeteuliwa kwa kupakwa mafuta matakatifu.

Shirikisha
Hesabu 35 BHN

Hesabu 35:25 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

nao mkutano utamwokoa yule aliyemwua mtu na mkono wa mwenye kutwaa kisasi cha damu; tena mkutano utamrejeza katika mji wake wa makimbilio, aliokuwa anaukimbilia; naye atakaa humo hata kifo chake kuhani mkuu, aliyepakwa mafuta kwa mafuta matakatifu.

Shirikisha
Hesabu 35 SUV

Hesabu 35:25 SRUV (Swahili Revised Union Version)

nao mkutano utamwokoa yule aliyemwua mtu na mkono wa mwenye kulipiza kisasi cha damu; tena mkutano utamrejesha katika mji wake wa makimbilio, aliokuwa anaukimbilia; naye atakaa humo hata kifo chake kuhani mkuu, aliyepakwa mafuta matakatifu.

Shirikisha
Hesabu 35 SRUV

Hesabu 35:25 NEN (Neno)

Kusanyiko lazima wamlinde yule anayeshtakiwa kuua kutoka kwa mlipiza kisasi wa damu, na kumrudisha katika mji wa makimbilio alikokuwa amekimbilia. Lazima akae humo hadi atakapokufa kuhani mkuu aliyekuwa amepakwa mafuta matakatifu.

Shirikisha
Hesabu 35 NEN