Wafilipi 2:12
Wafilipi 2:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Wapenzi wangu, nilipokuwa nanyi mlinitii daima, na hata sasa niwapo mbali nanyi endeleeni kutii. Fanyeni kazi kwa hofu na tetemeko kwa ajili ya ukombozi wenu
Shirikisha
Soma Wafilipi 2Wafilipi 2:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, wapendwa wangu, kama vile mlivyotii sikuzote, si wakati mimi nilipokuwapo tu, bali sasa zaidi sana mimi nisipokuwapo, utimizeni wokovu wenu wenyewe kwa kuogopa na kutetemeka.
Shirikisha
Soma Wafilipi 2