Wafilipi 2:26 - Linganisha Matoleo Yote
Wafilipi 2:26 BHN (Biblia Habari Njema)
Anayo hamu kubwa ya kuwaoneni nyinyi nyote, na amesikitika sana kwani nyinyi mmepata habari kwamba alikuwa mgonjwa.
Shirikisha
Wafilipi 2 BHNWafilipi 2:26 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa alikuwa na shauku kwenu ninyi nyote, akahuzunika sana, kwa sababu mlisikia ya kwamba alikuwa hawezi.
Shirikisha
Wafilipi 2 SUVWafilipi 2:26 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa alikuwa na shauku kwenu ninyi nyote, akahuzunika sana, kwa sababu mlisikia ya kwamba alikuwa mgonjwa.
Shirikisha
Wafilipi 2 SRUVWafilipi 2:26 NEN (Neno)
Kwa maana amekuwa akiwaonea sana shauku ninyi nyote, akiwa na wasiwasi kwa kuwa mlisikia kwamba alikuwa mgonjwa.
Shirikisha
Wafilipi 2 NEN