Wafilipi 2:28 - Linganisha Matoleo Yote
Wafilipi 2:28 BHN (Biblia Habari Njema)
Basi, nataka sana kumtuma kwenu, ili mtakapomwona mpate kufurahi tena, nayo huzuni yangu itoweke.
Shirikisha
Wafilipi 2 BHNWafilipi 2:28 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo nimefanya bidii nyingi zaidi kumtuma, ili mtakapomwona tena mpate kufurahi, nami nipunguziwe huzuni yangu.
Shirikisha
Wafilipi 2 SUVWafilipi 2:28 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo nimefanya bidii nyingi zaidi kumtuma, ili mtakapomwona tena mpate kufurahi, nami nipunguziwe huzuni yangu.
Shirikisha
Wafilipi 2 SRUVWafilipi 2:28 NEN (Neno)
Kwa hiyo mimi ninafanya bidii kumtuma kwenu ili mtakapomwona kwa mara nyingine, mpate kufurahi, nami wasiwasi wangu upungue.
Shirikisha
Wafilipi 2 NEN