Methali 10:13
Methali 10:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kinywani mwa mwenye ufahamu mna hekima, lakini wasio na akili watachapwa viboko mgongoni.
Shirikisha
Soma Methali 10Methali 10:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hekima hupatikana midomoni mwa mwenye ufahamu; Bali fimbo hufaa kwa mgongo wake asiye na ufahamu.
Shirikisha
Soma Methali 10