Methali 11:13
Methali 11:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Apitapitaye akichongea hutoa siri, lakini anayeaminika rohoni huficha siri.
Shirikisha
Soma Methali 11Methali 11:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mwenye kitango akisingizia hufunua siri; Bali mwenye roho ya uaminifu husitiri mambo.
Shirikisha
Soma Methali 11