Methali 11:24
Methali 11:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Atoaye kwa ukarimu huzidi kutajirika; lakini bahili huzidi kudidimia katika umaskini.
Shirikisha
Soma Methali 11Methali 11:24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kuna atawanyaye, lakini huongezewa zaidi; Kuna azuiaye isivyo haki, lakini huelekea uhitaji.
Shirikisha
Soma Methali 11