Methali 11:28
Methali 11:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayetegemea mali zake ataanguka, lakini mwadilifu atastawi kama jani bichi.
Shirikisha
Soma Methali 11Methali 11:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Azitegemeaye mali zake ataanguka; Mwenye haki atasitawi kama jani.
Shirikisha
Soma Methali 11