Methali 11:30
Methali 11:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Matendo ya mwadilifu huleta uhai, lakini uhalifu huuondoa uhai.
Shirikisha
Soma Methali 11Methali 11:30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mazao ya mwenye haki ni mti wa uzima; Na mwenye hekima huvuta roho za watu.
Shirikisha
Soma Methali 11