Methali 13:1
Methali 13:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtoto mwenye hekima husikia maagizo ya baba yake, lakini mwenye dharau hasikilizi maonyo.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwana mwenye hekima husikiliza mausia ya babaye; Bali mwenye dharau hasikilizi maonyo.
Shirikisha
Soma Methali 13