Methali 13:12
Methali 13:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Tumaini la kungojangoja huumiza moyo, lakini tazamio linalotimia ni mti wa uhai.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kilichotarajiwa kikikawia kuja, moyo huugua. Bali haja ya mtu ikipatikana, ni mti wa uzima.
Shirikisha
Soma Methali 13