Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 13:14 - Linganisha Matoleo Yote

Methali 13:14 BHN (Biblia Habari Njema)

Mafundisho ya wenye hekima ni chemchemi ya uhai; humwezesha mtu kuiepa mitego ya kifo.

Shirikisha
Methali 13 BHN

Methali 13:14 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Sheria ya mwenye akili ni chemchemi ya uzima, Ili kuepukana na tanzi za mauti.

Shirikisha
Methali 13 SUV

Methali 13:14 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Sheria ya mwenye akili ni chemchemi ya uzima, Ili kuepukana na tanzi za mauti.

Shirikisha
Methali 13 SRUV

Methali 13:14 NEN (Neno)

Mafundisho ya mwenye busara ni chemchemi ya uzima, ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti.

Shirikisha
Methali 13 NEN