Methali 13:20
Methali 13:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayeandamana na wenye hekima hupata hekima, lakini anayejiunga na wapumbavu atapata madhara.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nenda pamoja na wenye hekima, nawe utakuwa na hekima; Bali rafiki wa wapumbavu ataumia.
Shirikisha
Soma Methali 13