Methali 13:3
Methali 13:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Achungaye mdomo wake huyahifadhi maisha yake, anayeropoka ovyo hujiletea maangamizi.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yeye alindaye kinywa chake huilinda nafsi yake; Bali afunuaye midomo yake atapata uharibifu.
Shirikisha
Soma Methali 13Methali 13:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yeye alindaye kinywa chake huilinda nafsi yake; Bali afunuaye midomo yake atapata uharibifu.
Shirikisha
Soma Methali 13