Methali 14:1
Methali 14:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
Shirikisha
Soma Methali 14Methali 14:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
Shirikisha
Soma Methali 14