Methali 14:16
Methali 14:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenye hekima ni mwangalifu na huepa uovu, lakini mpumbavu hajizuii wala hana uangalifu.
Shirikisha
Soma Methali 14Methali 14:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mwenye hekima huogopa, akajitenga na uovu; Bali mpumbavu ana ufidhuli, na kujitumai.
Shirikisha
Soma Methali 14