Methali 14:27
Methali 14:27 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kumcha BWANA ni chemchemi ya uzima, Ili kuepukana na tanzi za mauti.
Shirikisha
Soma Methali 14Methali 14:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni chemchemi ya uhai; humwezesha mtu kuepa mitego ya kifo.
Shirikisha
Soma Methali 14