Methali 14:33
Methali 14:33 Biblia Habari Njema (BHN)
Hekima imo moyoni mwa mtu mwenye busara; haipatikani kamwe mioyoni mwa wapumbavu.
Shirikisha
Soma Methali 14Methali 14:33 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hekima hukaa katika moyo wake mwenye ufahamu; Bali yaliyo ndani ya wapumbavu hudhihirika.
Shirikisha
Soma Methali 14