Methali 15:1
Methali 15:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kujibu kwa upole hutuliza hasira, lakini neno kali huchochea hasira.
Shirikisha
Soma Methali 15Methali 15:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Jawabu la upole hugeuza hasira; Bali neno liumizalo huchochea ghadhabu.
Shirikisha
Soma Methali 15Methali 15:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Jawabu la upole hugeuza ghadhabu, bali neno liumizalo huchochea hasira.
Shirikisha
Soma Methali 15