Methali 15:22
Methali 15:22 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Pasipo mashauri makusudi hubatilika; Bali kwa wingi wa washauri huthibithika.
Shirikisha
Soma Methali 15Methali 15:22 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mipango hushindwa kufanikiwa kwa ajili ya kukosa ushauri, bali kukiwa na washauri wengi hufanikiwa.
Shirikisha
Soma Methali 15