Methali 15:3
Methali 15:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Macho ya Mwenyezi-Mungu huona kila kitu, humchunguza mtu mwema na mtu mbaya.
Shirikisha
Soma Methali 15Methali 15:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Macho ya BWANA yako kila mahali; Yakimchunguza mbaya na mwema.
Shirikisha
Soma Methali 15