Methali 17:1
Methali 17:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Afadhali mkate mkavu kwa amani, kuliko karamu katika nyumba ya ugomvi.
Shirikisha
Soma Methali 17Methali 17:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Afadhali mego kavu pamoja na utulivu, Kuliko nyumba yenye karamu nyingi pamoja na magomvi.
Shirikisha
Soma Methali 17