Methali 17:14
Methali 17:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mwanzo wa ugomvi ni kama kutoboa penye maji; Basi acheni ugomvi kabla haujafurika.
Shirikisha
Soma Methali 17Methali 17:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Kuanzisha ugomvi ni kama kufanya ufa kwenye bwawa; achana na ugomvi kabla haujafurika.
Shirikisha
Soma Methali 17