Methali 17:22
Methali 17:22 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Moyo uliochangamka ni dawa nzuri; Bali roho iliyopondeka huikausha mifupa.
Shirikisha
Soma Methali 17Methali 17:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Moyo mchangamfu ni dawa, bali moyo wenye huzuni hudhoofisha mwili.
Shirikisha
Soma Methali 17