Methali 17:27
Methali 17:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Asiyesema sana ana maarifa; mtu mtulivu ni mwenye busara.
Shirikisha
Soma Methali 17Methali 17:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Azuiaye maneno yake ni mwenye maarifa; Na mwenye roho ya utulivu ana busara.
Shirikisha
Soma Methali 17