Methali 17:28
Methali 17:28 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima; Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu.
Shirikisha
Soma Methali 17Methali 17:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Hata mpumbavu akinyamaza huonekana ana hekima; akifunga mdomo wake huonekana kuwa mwenye akili.
Shirikisha
Soma Methali 17Methali 17:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima; Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu.
Shirikisha
Soma Methali 17