Methali 17:9
Methali 17:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Afunikaye kosa hutafuta kupendwa; Bali yeye akashifuye neno hutenga rafiki.
Shirikisha
Soma Methali 17Methali 17:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Anayesamehe makosa hujenga urafiki, lakini anayekumbusha makosa hutenga rafiki.
Shirikisha
Soma Methali 17