Methali 18:10
Methali 18:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Jina la Mwenyezi-Mungu ni mnara imara; mwadilifu huukimbilia akawa salama.
Shirikisha
Soma Methali 18Methali 18:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jina la BWANA ni ngome imara; Mwenye haki huikimbilia, akawa salama.
Shirikisha
Soma Methali 18Methali 18:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Jina la BWANA ni ngome imara; Mwenye haki huikimbilia, akawa salama.
Shirikisha
Soma Methali 18