Methali 23:24
Methali 23:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Baba wa mtoto mwadilifu atajaa furaha; anayemzaa mtoto mwenye hekima atamfurahia.
Shirikisha
Soma Methali 23Methali 23:24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Baba yake mwenye haki atashangilia; Naye amzaaye mtoto mwenye hekima atamfurahia.
Shirikisha
Soma Methali 23