Methali 23:7
Methali 23:7 Biblia Habari Njema (BHN)
maana moyoni mwake anahesabu unachokula. Atakuambia, “Kula, kunywa!” Lakini moyoni mwake hayuko pamoja nawe.
Shirikisha
Soma Methali 23Methali 23:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo. Akuambia, Haya, kula, kunywa; Lakini moyo wake hauwi pamoja nawe.
Shirikisha
Soma Methali 23