Methali 24:1-2 - Linganisha Matoleo Yote
Methali 24:1-2 BHN (Biblia Habari Njema)
Usiwaonee wivu watu waovu, wala usitamani kuwa pamoja nao, maana fikira zao zote ni juu ya ukatili, hamna jema lolote litokalo midomoni mwao.
Shirikisha
Methali 24 BHNMethali 24:1-2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiwahusudu watu waovu, Wala usitamani kuwa pamoja nao; Kwa maana moyo wao hufikiri dhuluma, Na midomo yao huongea madhara.
Shirikisha
Methali 24 SUVMethali 24:1-2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Usiwawaonee wivu watu waovu, Wala usitamani kuwa pamoja nao; Kwa maana moyo wao hufikiri dhuluma, Na midomo yao huongea madhara.
Shirikisha
Methali 24 SRUVMethali 24:1-2 NEN (Neno)
Usiwaonee wivu watu waovu, usitamani ushirika nao; kwa maana mioyo yao hupanga mambo ya jeuri, nayo midomo yao husema kuhusu kuleta madhara.
Shirikisha
Methali 24 NEN