Methali 24:14
Methali 24:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndivyo ilivyo hekima nafsini mwako; ukiipata utakuwa na matazamio mema, wala tumaini lako halitakuwa la bure.
Shirikisha
Soma Methali 24Methali 24:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi utaijua hekima kuwa tamu kwa nafsi yako; Ikiwa umekwisha kuiona; Ndipo itakapofuata thawabu; Wala tumaini lako halitabatilika.
Shirikisha
Soma Methali 24