Methali 4:10 - Linganisha Matoleo Yote
Methali 4:10 BHN (Biblia Habari Njema)
Mwanangu, sikia na kuyapokea maneno yangu, ili upate kuwa na miaka mingi ya kuishi.
Shirikisha
Methali 4 BHNMethali 4:10 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanangu, sikiliza, na kuzipokea kauli zangu; Na miaka ya maisha yako itakuwa mingi.
Shirikisha
Methali 4 SUVMethali 4:10 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Mwanangu, sikiliza, na kuzipokea kauli zangu; Na miaka ya maisha yako itakuwa mingi.
Shirikisha
Methali 4 SRUVMethali 4:10 NEN (Neno)
Sikiliza mwanangu, kubali ninachokuambia, nayo miaka ya maisha yako itakuwa mingi.
Shirikisha
Methali 4 NEN