Zaburi 106:4-5
Zaburi 106:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, unikumbuke mimi, Kwa kibali ulicho nacho kwa watu wako. Unijie kwa wokovu wako, Ili niuone wema wa wateule wako. Nipate kuifurahia furaha ya taifa lako, Na kujisifu pamoja na watu wako.
Shirikisha
Soma Zaburi 106Zaburi 106:4-5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ee BWANA, unikumbuke mimi, Kwa kibali uliyo nayo kwa watu wako. Unijilie kwa wokovu wako, Ili niuone wema wa wateule wako. Nipate kuifurahia furaha ya taifa lako, Na kujisifu pamoja na watu wako.
Shirikisha
Soma Zaburi 106