Zaburi 109:30
Zaburi 109:30 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nitamshukuru BWANA kwa kinywa changu, Naam, nitamsifu katikati ya mkutano.
Shirikisha
Soma Zaburi 109Zaburi 109:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitamshukuru sana Mwenyezi-Mungu kwa sauti; nitamsifu kati ya kundi kubwa la watu
Shirikisha
Soma Zaburi 109