Zaburi 109:4 - Linganisha Matoleo Yote
Zaburi 109:4 BHN (Biblia Habari Njema)
Ingawa niliwapenda, walinishtaki, hata hivyo niliwaombea dua.
Shirikisha
Zaburi 109 BHNZaburi 109:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Badala ya upendo wangu wao hunishitaki, Ijapokuwa naliwaombea.
Shirikisha
Zaburi 109 SUVZaburi 109:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Badala ya upendo wangu wao hunishitaki, Ijapokuwa niliwaombea.
Shirikisha
Zaburi 109 SRUVZaburi 109:4 NEN (Neno)
Wanachonilipa badala ya urafiki wangu ni kunishtaki, lakini mimi ninawaombea.
Shirikisha
Zaburi 109 NEN