Zaburi 109:5 - Linganisha Matoleo Yote
Zaburi 109:5 BHN (Biblia Habari Njema)
Wananilipa uovu kwa wema wangu, na chuki kwa mapendo yangu.
Shirikisha
Zaburi 109 BHNZaburi 109:5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wamenichukuza mabaya badala ya mema, Na chuki badala ya upendo wangu.
Shirikisha
Zaburi 109 SUVZaburi 109:5 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Wamenilipa mabaya kwa mema yangu, Na chuki badala ya upendo wangu.
Shirikisha
Zaburi 109 SRUVZaburi 109:5 NEN (Neno)
Wananilipiza mabaya kwa mema, chuki badala ya urafiki wangu.
Shirikisha
Zaburi 109 NEN