Zaburi 110:1
Zaburi 110:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu amwambia bwana wangu: “Keti upande wangu wa kulia, hata niwaweke maadui zako chini ya miguu yako.”
Shirikisha
Soma Zaburi 110Zaburi 110:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Neno la BWANA kwa Bwana wangu, Uketi mkono wangu wa kuume, Hata niwafanyapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 110