Zaburi 127:1
Zaburi 127:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asipoijenga nyumba, waijengao wanajisumbua bure. Mwenyezi-Mungu asipoulinda mji, waulindao wanakesha bure.
Shirikisha
Soma Zaburi 127Zaburi 127:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
BWANA asipoijenga nyumba, wajengao hufanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji, walinzi wakesha bure.
Shirikisha
Soma Zaburi 127