Zaburi 127:3-4
Zaburi 127:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Watoto ni riziki kutoka kwa Mwenyezi-Mungu; watoto ni tuzo lake kwetu sisi. Watoto waliozaliwa wazazi wakiwa bado vijana, ni kama mishale mikononi mwa askari.
Shirikisha
Soma Zaburi 127Zaburi 127:3-4 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Wana ni urithi utokao kwa BWANA, watoto ni zawadi kutoka kwake. Kama mishale mikononi mwa shujaa ndivyo walivyo wana awazaao mtu katika ujana wake.
Shirikisha
Soma Zaburi 127