Zaburi 13:2
Zaburi 13:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nitakuwa na wasiwasi rohoni mwangu hadi lini, Nikihuzunika moyoni mchana kutwa? Adui yangu atatukuka juu yangu hadi lini?
Shirikisha
Soma Zaburi 13Zaburi 13:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hata lini nifanye mashauri nafsini mwangu, Nikihuzunika moyoni mchana kutwa? Hata lini adui yangu atukuke juu yangu?
Shirikisha
Soma Zaburi 13