Zaburi 137:3-4
Zaburi 137:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Waliotuteka walitutaka tuwaimbie; watesi wetu walitutaka tuwafurahishe: “Tuimbieni mojawapo ya nyimbo za Siyoni!” Twawezaje kuimba wimbo wa Mwenyezi-Mungu katika nchi ya kigeni?
Shirikisha
Soma Zaburi 137Zaburi 137:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana huko waliotuchukua mateka Walitaka tuwaimbie; Na waliotuonea walitaka tuwatumbuize; Tuimbieni baadhi ya nyimbo za Sayuni. Twawezaje kuimba wimbo wa BWANA Katika nchi ya ugeni?
Shirikisha
Soma Zaburi 137