Zaburi 137:3-4
Zaburi 137:3-4 NEN
kwa maana huko hao waliotuteka walitaka tuwaimbie nyimbo, watesi wetu walidai nyimbo za furaha; walisema, “Tuimbieni wimbo mmoja kati ya nyimbo za Sayuni!” Tutaimbaje nyimbo za BWANA, tukiwa nchi ya kigeni?