Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 137:3-4

Zab 137:3-4 SUV

Maana huko waliotuchukua mateka Walitaka tuwaimbie; Na waliotuonea walitaka furaha; Tuimbieni baadhi ya nyimbo za Sayuni. Tuuimbeje wimbo wa BWANA Katika nchi ya ugeni?

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 137:3-4