Zaburi 18:2
Zaburi 18:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu ni mwamba wangu, ngome yangu na mkombozi wangu; Mungu wangu, mwamba wangu ninayemkimbilia usalama; ngao yangu, nguvu za wokovu wangu na ngome yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 18Zaburi 18:2 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
BWANA ni mwamba wangu, ngome yangu na mwokozi wangu, Mungu wangu ni mwamba, ambaye kwake ninakimbilia. Yeye ni ngao yangu na pembe ya wokovu wangu, ngome yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 18