Zaburi 18:46
Zaburi 18:46 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA ndiye aliye hai; Na ahimidiwe mwamba wangu; Na atukuzwe Mungu wa wokovu wangu
Shirikisha
Soma Zaburi 18Zaburi 18:46 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu yu hai! Asifiwe mwamba wa usalama wangu; atukuzwe Mungu wa wokovu wangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 18