Zaburi 18:6
Zaburi 18:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Katika shida yangu nalimwita BWANA, Na kumlalamikia Mungu wangu. Akaisikia sauti yangu hekaluni mwake, Kilio changu kikaingia masikioni mwake.
Shirikisha
Soma Zaburi 18Zaburi 18:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Katika taabu yangu nilimwita Mwenyezi-Mungu, nilimlilia Mungu wangu anisaidie. Aliisikia sauti yangu hekaluni mwake; kilio changu kilimfikia masikioni mwake.
Shirikisha
Soma Zaburi 18