Zaburi 32:7
Zaburi 32:7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Wewe ndiwe mahali pangu pa kujificha, utaniepusha na taabu na kunizunguka kwa nyimbo za wokovu.
Shirikisha
Soma Zaburi 32Zaburi 32:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe ndiwe kinga yangu; wewe wanilinda katika taabu. Umenijalia shangwe za kukombolewa.
Shirikisha
Soma Zaburi 32